TANZU ZA LUGHA MWANAFUNZI 4 (Code: )

Kinyume na vitabu vingine, mfululizo huu unatilia mkazo mbinu ya maingiliano katika ufunzaji wa lugha. Maingiliano baina ya stadi mbalimbali hususan;

  • somo na somo; juma na juma;
  • faslu na faslu;
  • mwalimu na mwanafunzi ni muhimu.
  • Aidha mfululizo huu unaangazia namna lugha ya kiswahili inavyohusiana na taaluma nyinginezo.
  • Nyanja zote zinazoshughulikiwa humu zinalengwa kumpa mwanafunzi msukumo wa kujikuza katika lugha ya Kiswahili.
  • Kiwango cha lugha walichokitumia waandishi kinaafiki kila kidato kilichoandikwa

.

Price: 300.00 KES
Quantity in stock: 1
Quantity:
Copyright www.webdesigner-profi.de MAXXmarketing GmbH

Contact Us

location Head Office, Enterprise Rd. Industrial Area

mail P.O. Box 30533 00100 Nairobi, Kenya.

tel(+254) 203583925,202329987,20654789
202330002/3

no 0723-286993, 0723-969793, 0735-339135

mail info@jkf.co.ke / complaints@jkf.co.ke

Newsletter